kutoka kwa:
Mohammed Othman
Katika kuendeleza sekta ya wanahabari waandishi wanaopewa mafunzo ya Internate hiii inaonesha wazi kuwa waandishi wamekubali mashirikiano makubwa na taasisi ya MISA TANZANIA kwa kuendeleza elimu yao kwa njia ya Internet.
Suala hili la kuwapatia mafunzo waandishi lisipotee kwa muda mwingi tunaomba kupatiwa kila baada ya muda fulani na kwenda kufanyia mafunzo haya si kwa hapa Zanzibar iwe nje ya Zanzibar kwani kuwasomesha kwa njia moja kama hii haitoshelezi waandishi kila wanapotoka nje ya mji au makaazi waliokuwa wapo inawapa fursa ya kutanua mawazo ya elimu. MISA TANZANIA MISA TANZANIA inahitaji kuwavusha waandishi nje ya eneo walilokuwepo.
Mafunzo ya leo yamezidi kuwafunua macho waandishi kwa sababu wamepata kujua tovuti zaidi ya tano ambazo huwa wanazitumia ikiwemo ya BBC,Deutsche Welle, Reuters, aljazeera.net na CNN tovuti hizi waandishi wa hapa Zanzibar ndizo wanazozifahamu sana na kuzifanyia kazi.
Tovuti zilizo wasilishwa kwa waandishi kama vile: africanelections.tripod.com, library.stanford.edu, ajol.info,ipsnews.net, allafrica.com, irinnews.org, pambazuka.org na internetworldstatistics.com. zitawasaidia sana baada ya kuchukuwa habari kutoka katika tovuti walizo zizoweya.
Pamoja na hayo waandishi wamepata muendelezo wa kutumia blog kwa kubadilisha au kama umekosea na kuweka picha.www.voanews.com/swahili
Ahsante tunakushukuru : VIKES - Peik Johansson, Training Consultant.
Nimeziona hizi, na mimi nakuonga mkono kama ni mwanafunzi wako wa online.
ReplyDelete