Waandishi kutoka vyombo mbali mbali vya habari vya Zanzibar vikiwemo vya serikali na kujitegemea wamepatiwa mafunzo ya Internet na taasisi ya MISA na kuadhiminiwa na Finland. Mafunzo hayo yalioafanyika katika chuo cha SUZA wamefurahishwa kwa mtiririko wa kupata elimu hiyo ya Internet.
No comments:
Post a Comment