Wednesday, 3 March 2010

MSTAHAMILIVU HULA MBIVU
Mstahamilivu hula mbivu mafundi kutoka Uingereza wakifunga vifaa vya kisasa huko Fumba kwa kurejesha umeme Zanzibar uliopotea Disemba 10.(Picha zote kwa hisani ya SMS Zanzibar)

Friday, 12 February 2010

THANKS FOR 5DAY INTERNATE WORKSHOPAhsante sana:

I like the hall training workshop Journalist and special me (certificate of journalist) Design and Page Maker using this for layout).

MISA-TANZANIA this day not the end for training but he went the continually.

Thanks Mr.Peik Johansson (Journalist Training Consultant) and every thing u and your family

Thanks again from Mohammed Othman Abdulrahman
Email: halmo73@yahoo.com

MAMBO YA SUPU POA....

Ukitaka kuku POA!!!


Ukitaka Nguruwe 'UTAJIJU' muuzaji kakimbia...

Alanda Island


Aland Islands Boundaries Map

The Aland islands (Åland in Swedish, Ahvenanmaa in Finnish) are positioned between eastern Sweden and southwestern Finland, about 65 miles east of Stockholm, Sweden. The islands were originally settled by Nordic peoples, today called Alanders. The Aland people developed a specific genealogy, different from other Scandinavians, being both isolated and connected by sea. Still, Alanders are considered to be Swedes.

The Alanders were influenced by Swedish and Danish cultures in the early development of Scandinavia. Today, the Aland Islands are an autonomous and unilingually Swedish province of Finland. Aland is made up of over 6,500 islands and rocky outcrops covering 572 square miles. The largest island is called Fasta Åland (Main Island of Aland) where 90% of the population live. It extends over more than 70% of the total land area of Aland (see map on left). The population of Aland in the 18th century was about 11,000, inhabiting 80 of the islands.
In 1905 there were some 22,000 inhabitants, living on 150 islands. Today just over 25,000 inhabitants live on only 65 of the islands. Nearly half the population live in Mariehamn, the only city in Aland. The smallest district, and also the smallest in all Finland, is the outer island district of Sottunga, with some 130 inhabitants.

For more infomation about Alanda Island run:goscandinavia.about.com
Alanda Flag

Thursday, 11 February 2010

Freddie Mercury short history

Mercury in the show

The house where Mercury lived in his early years in Zanzibar


Freddie Mercury was born Zanzibar, September 5, 1946 and he die He died of bronchopneumonia induced by AIDS on November 24, 1991, only one day after publicly acknowledging he had the disease.

At the age of 17, Mercury and his family fled from Zanzibar for safety reasons due to the 1964 Zanzibar Revolution. The family moved into a small house in Feltham, Middlesex, England.
The band Mercury non Queen. Freddie is the singer, songwriter producer and Musician:
Bohemian Rhapsody, "Somebody to Love", "Killer Queen",We Are the Champions". "Don't Stop Me Now", and other.
Queen had sold more than 300 million albums.

for more information visit: http://en.wikipedia.org/wiki/Freddie_Mercury

Professor Abdulrazak Gurnah


Professor. Abdulrazak Gurnah was born in 1948 on the island of Zanzibar . He came to Britain as a student in 1968 and now teaches literature at the University of Kent. He is associate editor of the journal Wasafiri and novelist. For more information visite : www.kent.ac.uk or www.contemporarywriters.com and Email: a.s.gurnah@kent.ac.uk

Wednesday, 10 February 2010

Leo (Today)


Mohammed Othman ABUDLRAHMAN ni mmoja ya mdau wa waandishi wanoendelea kupata mafunzo ya Tovuti yanayotolewa na MISA TANZANIA hapa Zanzibar yanayofanyika Chuo kikuu cha taifa (SUZA) leo ni siku ya tatu kupata mafunzo hayo yakiwemo ya LINK,JOURNALIST MEDIA BENEFIT AND OTHERS.

Siku ya Tatu (Thard day Training)


Wangari Muta Maathai (born April 1, 1940 in Ihithe village, Tetu division, Nyeri District of Kenya) is a Kenyan environmental and political activist. She was educated in the United States at Mount St. Scholastica College and the University of Pittsburgh, as well as the University of Nairobi in Kenya. In the 1970s, Maathai founded the Green Belt Movement, an environmental non-governmental organization focused on the planting of trees, environmental conservation, and women's rights. Wangari Maathai is the founder of the Green Belt Movement, an environmentalist, a civil society and women's rights activist, and a parliamentarian. You can read about her life and her organization through her two books, Unbowed: A Memoir and The Green Belt Movement. You can also scan condensed versions of her life and achievements, including being awarded the 2004 Nobel Peace Prize.

Since winning the Nobel Peace Prize, Wangari Maathai has become a spokesperson for a number of important initiatives.

Both before and since she won the Nobel Peace Prize, Wangari Maathai has spoken about, and been interviewed on, a range of subjects. You can read these articles, interviews, and statements, by visiting the www.greenbeltmovement.org

Tuesday, 9 February 2010

Siku ya Pili ya Mafunzo ( Jouranlist Workshop Second day)

kutoka kwa:
Mohammed Othman

Katika kuendeleza sekta ya wanahabari waandishi wanaopewa mafunzo ya Internate hiii inaonesha wazi kuwa waandishi wamekubali mashirikiano makubwa na taasisi ya MISA TANZANIA kwa kuendeleza elimu yao kwa njia ya Internet.

Suala hili la kuwapatia mafunzo waandishi lisipotee kwa muda mwingi tunaomba kupatiwa kila baada ya muda fulani na kwenda kufanyia mafunzo haya si kwa hapa Zanzibar iwe nje ya Zanzibar kwani kuwasomesha kwa njia moja kama hii haitoshelezi waandishi kila wanapotoka nje ya mji au makaazi waliokuwa wapo inawapa fursa ya kutanua mawazo ya elimu. MISA TANZANIA MISA TANZANIA inahitaji kuwavusha waandishi nje ya eneo walilokuwepo.

Mafunzo ya leo yamezidi kuwafunua macho waandishi kwa sababu wamepata kujua tovuti zaidi ya tano ambazo huwa wanazitumia ikiwemo ya BBC,Deutsche Welle, Reuters, aljazeera.net na CNN tovuti hizi waandishi wa hapa Zanzibar ndizo wanazozifahamu sana na kuzifanyia kazi.

Tovuti zilizo wasilishwa kwa waandishi kama vile: africanelections.tripod.com, library.stanford.edu, ajol.info,ipsnews.net, allafrica.com, irinnews.org, pambazuka.org na internetworldstatistics.com. zitawasaidia sana baada ya kuchukuwa habari kutoka katika tovuti walizo zizoweya.

Pamoja na hayo waandishi wamepata muendelezo wa kutumia blog kwa kubadilisha au kama umekosea na kuweka picha.www.voanews.com/swahili

Ahsante tunakushukuru : VIKES - Peik Johansson, Training Consultant.

Monday, 8 February 2010

Waandishi kutoka vyombo mbali mbali vya habari vya Zanzibar vikiwemo vya serikali na kujitegemea wamepatiwa mafunzo ya Internet na taasisi ya MISA na kuadhiminiwa na Finland. Mafunzo hayo yalioafanyika katika chuo cha SUZA wamefurahishwa kwa mtiririko wa kupata elimu hiyo ya Internet.

Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Amani Abeid Karume (kulia) akiwa na mgeni wake Mstahiki Aga Khan, baada ya kuzindua bustani ya Forodhani baada ya kukarabatiwa.(Picha kwa hisani ya mtandao)


Eneo la Bustani ya Forodhani iliyopo katika Mji mkongwe Zanzibar www.voanews.com/swahili(Zanzibar Stone Town)ambayo imakarabatiwa wa Mstahiki Aga Khan mwaka 2009 www.theismaili.org, Bustahii hii baada ya kukarabatiwa ilizinduliwa rasmi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Amani Abeid Karume.(Picha kwa hisani ya Mtandao).